Home || The Aggressive Vision || Prophetic Word Of The Lord || On Line Library || Current Articles and What's New
Free Literature || Visions from The Lord || More About ACMTC || Contact


Mapinduzi Ya Toba! 

Sehemu ya 2

Gen. James Green

SASA LEO, tutakuwa katika Yeremia 26; hii ni sehemu ya 2. Nitamalizia ujumbe huu leo. Nitakwenda kusoma habari chache nilizokuwa nikiziongelea jana. Lakini, nataka nianzie katika Yeremia 26. Tulikuwa hapa, na hatimaye tukaenda Yeremia 7; lakini intakwenda hapo leo. Somo langu kuu katika sura hii hapa litakuwa katika mstari wa 3.

Sasa, kama kila mtu ana Biblia yake, na kama kila mtu yuko hapa, inasema: “Labda watasikia,” akizungumzia juu ya waliorudi nyuma na kughairi na kuacha kila mtu njia yake mbaya;” Sasa Mungu anasema, likifuatilia hilo “ili niyaghairi mabaya niliyokusudia kuyatenda,”

Sasa, kama unataka kumpata Mungu katika Mapinduzi ya Toba, basi tunatakiwa kutubu, unaona? Unasema: “Sawa, sidhani kwamba ninatakiwa kutubu kwa ajili ya jambo lolote.” Sawa, Mungu alihitaji kutubu juu ya masuala fulani fulani---alikuwa anakwenda kutubu kwa ajili ya maovu ambayo alikuwa anakwenda kuyayafanya kwa watu wake Mwenyewe. Lakini alikuwa anawapa muda kupitia kwa Yeremia kwa ajili yao kutubu dhambi zao; kama wangetubu, basi angekwenda kutubu kwa ajili ya uovu ambao angekwenda kuufanya dhidi yao.

HIVYO, KAMA MUNGU ANA HURUMA YA KUTOSHA KUTUBU, NA HATENDI DHAMBI YOYOTE, NI KWA KIASI GANI WANADAMU WAHASTAHILI HUKUMU, NA KUHITAJI KUTUBU? Kadhalika hata kwa Yesu alikuja, wapendwa, kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Hakuja kwa watenda dhambi, wapagani, waabuduo sanamu, wazinzi, wapagai wauaji---Alikuja kwa watu wake mwenyewe---kwa sababu walikuwa wamepotea na ilimgharimu Yesu kuacha enzi Yake Mbinguni na kuja katika dunia hii ovu kwa namna ya mwanadamu, kutembea ulimwenguni kama mwanadamu, na kulipa adhabu ya dhambi za wanadamu kwa ubinadamu wake, kifo; kifo cha maumivu, kwa uhakika.

Makuhani hawa, manabii hawa----manabii wa uwongo katika siku za Yeremia au katika siku za manabii wote, wakubwa na wadogo---walichukia kulisikia Neno la Bwana. Walitaka kumuua Yeremia, unaweza kusoma yaliyobakia. Walitaka kumtoa roho. Ilikuwa ni watu wa dini waliotaka kufanya hivyo, na walitaka kufanya hivyo hivyo kwa Yesu. Yesu hakutenda dhambi yeyote, lakini Alikuja kuwaweka watu waka huru na dhambi, kuwaokoa kutoka kwenye dhambi zao, na sio kuwaokoa katika dhambi zao, lakini kuwaokoa KUTOKA kwenye dhanbi zao

Na alikuwa mwanadamu aliyekuwa na unyenyekevu. Aliomba katika mapinduzi ya toba kwa ajili ya watu Wake vilevile, na wala hakutenda dhambi yoyote. Hivyo, kama unadhani huna la kuombea, unahaki yako mwenyewe kwani unataka kumwona Mungu akipiga kila mtu sababu unadhani kuwa wewe ni mzuri sana, wote tunatakiwa kukumbuka: WOTE NI WENYE DHAMBI TULIOOKOLEWA KWA NEEMA YA MUNGU, na tulikuwa wote tunakwenda Motoni bila kwa afua ya Yesu kufa kwa ajili yetu.

Sasa, Mungu ametuambia kwamba kuna muda wa maombezi hapa kabla ya hukumu. Hukumu haijasimama, Inaendelea mbele na itaendelea mbele. Lakini ametuambia usiku huu kwamba Anatupa mapumziko, au kutoa MAPUMZIKO KWA AJILI YA TOBA kwa ajili ya Marekani sasa hivi.

Na kama Marekani hawataichukua changamoto hii na kutubu, hasa hasa watu wake mwenyewe Mungu, na wanamaombezi wa Mungu au “waonbaji wapiganaji” hawatajishughulisha na kazi ya Mungu, ndipo Mungu atakapokwenda kupiga vibaya kuliko ambavyo angefanya kabla ya hukumu: akitwanga na kubamiza na kusaga na kutupa vitu. Na inawezekana sana kwamba Anaweza akaiharibu Marekani kama tunavyoifahamu.

Rais wenu tayari karibu anamaliza kuikamilisha hiyo kazi. Anakaribia kuharibu kila kitu timamu kilichobakia. Akiwaachia wale mashoga wapotofu wa pinki na hapo hakutakuwepo na kitu kilichosalia katika miaka miwili iliyobakia ambayo kitu kimebakia.

Sasa, tunafanya zamu yetu hapa: tumaomba kila mtu, ndivyo tulivyopokea jumbe hizi. Tunafundisha mara nne au tano kwa juma, tunaomba, tunajitoa sadaka, na tunafanya vitu vyote hivi ambavyo Wakristo wate wanapaswa kuvifanya; wa wala hatujali kuvifanya vitu hivi.

Hii ndiyo huduma yetu yenye maana kwa Mungu. Lakini kwa maana ya kanisa wanalikwepa hilo na kufanya uchafu na dunia, na kwenda kanisani na kufanya uchafu kanisani, hakuna kitu kinachokungojea wewe isipokuwa kuangamia na moto wa kuzimu. Ndicho kilichobakia. Kwenda kwenye kanisa letu na kuwa na jina letu limeandikwa pale kama mwanachama haitakutoa Jehemamu.

Sasa, ninakwenda kukueleza wazi wazi: NI AMA MBINGUNI AU MOTONI; HAKUNA KATIKATI YA HAPO. Unatakiwa utoke kwenye mawazo ya Joel Osteen kwamba una maisha yako mazuri sasa na kwenda Mbinguni ukiishi kama pepo; na inabidi uache ujinga wa kurudia kila Joyce Meyers anachosema kwamba “Mungu anachanganyikiwa kwa ajili yako, na anakufukuzia kwasababu anamapenzi sana na wewe”. Kuna wakati Mungu anasumbuliwa, na matokeo yake anawaangamiza watu wake mwenyewe, kama Yeremia alivyo shahidi.

Sasa, Mungu alikuwa anakwenda kutubu kwa ajili ya uovu “ambao [Ali] ukusudia [ku]ufanya kwao kwa sababu ya uovu wa matendo yao” Sasa, hebu tufungue Malaki, hicho ni kitabu cha mwisho kwenye Agano la Kale, na ninakwenda kukusomea wewe kitu fulani kizuri, na kitamu sana. Ninakwenda kuanza katika mstari wa 1 sura ya 2: Na sasa, enyi makuhani…” Hapa tuna nabii mwingine, katika kipindi kingine, akiongea na watu hao hao, sio kwa mmoja mmoja bali kwa kundi lile lile la watu---makuhani na manabii---manabii wa uwongo, wale ambao walikuwa wakuu wa uongozi wa Israel.

Hapa tuna nabii mwingine akitoa ujumbe wake: “Amri hii yawahusu ninyi.” Ninauhakika masikio yaliwasha. Ninauhakika walidhani wanakwenda kusikia unabii mzuri kwamba Mungu anawapenda sana, na Mungu angekwenda kuwabariki katika dhambi zao; Nina uhakika walikuwa wanangoja kulisikia hilo. Mstari wa 2, “Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia mioyoni, ili kulitukuza jina langu, asema BWANA wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni”

Sawa, laani baraka zao. Rafiki, hii tayari imekwisha tokea. Hii imeekwisha tokea katika Marekani: MUNGU AMEKWISHA KUILAANI NCHI HII. Ni kwa sababu, kwa namna moja, enyi watu msiotaka kuyatia mioyoni, na msiotubu dhambi zenu, na msioenenda sawa. Mmeleta laana---mmealika laana ikaingia, na Mungu ameahidi katika Neno Lake kwamba atalaani baraka zenu kama mamtaliweka hili mioyoni mwenu.

Vema, ni wazi Marekani haijaliweka hili moyoni---kuhusu kutubu dhambi zake. Na wahubiri ndiyo wanazidi kuharibika, na kile wanachokifanya tu ni kuzungumzia kuhusu: “Tunahitaji fedha zaidi; tunahitaji kujenga majengo makubwa zaidi; niliota ndoto; niliona maono; Mungu aliongea nami” na takataka hizi zote unazisikia kila wakati. Yote ni kutoka kwa ibilisi. Yote Mungu anayotaka watu kufanya ni kukaa sawa, na kuishi sawa. Na kama hawafanyi hivyo, ndipo laana zinapokuja.

Sawa, hiyo haitoshi. Hapa una mstari wa 3: “Angalieni, nitaikemea mbegu (au watoto wenu) kwa ajili yenu, name nitapaka nyuso zenu mavi,Je, hiyo haisikiki kama sawa kisiasa au sawa kidini, nabii. Vema, inasema hapa kwamba “Naam, mavi ya sadaka zenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo”

Hivyo Mungu anasema nini? Mungu anasema. “Wakati utoapo sadaka ambazo nilizitaka hapo mwanzo---kuzifanya sawasawa, kwa dhamiri njema---unapokwenda kufanya hivyo, sitakwenda kuzipokea sadaka hizo. Nitakwenda kuchukua mavi na kuyapaka kwenye nyuso zenu zinazonuka kwa sababu ndivyo ninavyojisikia kuhusu ninyi” . Hiyo haipendezi.

Sasa, huo ni mfano, na nina uhakika Mungu hakufanya hivyo kwa jinsi ya mwili---kupaka mavi katika nyuso zao, lakini kuna mahali pengine katika Biblia yako katika Yeremia ambapo Mungu aliweka wazi kabisa kuwa Na waliouwawa na BWANA siku ile watakuwapo toka upande mmoja wa dunia hata upande wa pili; hawataliliwa, wala kukusanywa, wala kuzikwa; watakuwa samadi juu ya uso wa nchi. Hivyo ndivyo Mungu anavyojisikia kuhusu watu wake mwenyewe. (25:33).

Utakuta hili mara nyingi. Hiyo ni mifanyo ya Mungu kutoridhika na watu wake kwa ajili ya: ibada mbaya, mahusiano mabaya, na tuko mahali hapo sasa---Marekani ipo katika mahali hapo---ambapo Mungu anakwenda kupaka mavi katika nyuso zenu, watu wa kanisa.

Sawa, labda ungelilipenda hilo---kuwa sehemu ya agenda ya mashoga; unafahamu, wanakula mavi---wao ni wala mavi katika uanaharakati wao wa mashoga. Na ningeweza kupata uhalisia wa ushenzi wao hapa. Na wala sio ushenzi. Ni ukeli halisi wa baadhi ya uchafu wao, vitu vyao vichafu ambavyo hawa wapotofu hufanya. Hivyo, kula mavi isingeweza kuwa ngumu sana siku hizi kama wewe ni sehemu ya agenda ya mashoga, ambayo makanisa sasa yanawakaribisha makanisani kwao. SASA, KWA KUSEMA HIVYO NA KUFANYA HIVYO TUTAKWENDA MBELE KIASI GANI KABLA MUNGU HAJAIANGAMIZA NCHI HII?

Sasa, nilikuwa ninasema jana, kuna njia nyingi Mungu anaweza kuiangamiza Marekani. Sasa, kama ulilisikia neno asubuhi hii, Alikuwa anasema anaipa Marekani muda mfupi wa kutubu. Alitumia maneno hayo “muda mfupi” ambao unamaanisha kwamba tuko katika hali ya baraka sasa hivi ambao tunaweza kutubu dhambi zetu binafsi. Tunaweza kutubu kwa ajili ya wale ambao hawawezi kutubu au wasiotaka kutubu, lakini Mungu anasema: “Kama mtafanya hivyo” ---kama wanamaombezi wake watafanya hivyo, Angeweza akawabadilisha wale wasiotaka kufanya hivyo au wasioweza kufanya hivyo. Angeweza kuwashughulikia kiasi kwamba baadhi yao wataona dhambi zao, na kutubu, na kuja katika ufunuo wenyewe.

Rafiki, tunahitaji watu katika mapinduzi haya. Tunahitaji wanachama, sio kwa sababu nahitaji fedha yako, au sio kwa sababu ninajenga kitu fulani kikubwa. Mungu anahitaji watu wa kusimama kwa ajili yake katika taifa hili.

 Inashangaza kuwa asilimia 3%-4% ya Wamarekani ni Mashoga, na hiyo inajumuisha wasagaji, wenye jinsi mbili na waliobadili jinsi na madudu yote machafu. Wameitisha nchi hii yote, na wameiweka nchi yote katika hali ya kuchanganyikiwa: “Sifahamu kama mimi ni shoga au la! Ninamaanisha wananiambia nchi yote inataka kuwa shoga. Je, mimi ni shoga? Je, niko wazi? Mimi ni shoga? Niko wazi?” Kuchanganyikiwa.

Sawa, ninakwenda kuweka kumbukumbu sawa. MIMI SIO SHOGA, NA NIKO WAZI. NA Biblia INATAMKA KUWA DHAMBI HIZO NI MACHUKIZO, harufu mbaya katika pua zake. Huo ndio ukweli. Acha kuchanganyikiwa hapa leo ndugu katika Kanisa na nchi; soma Biblia yako kwa ajili ya mabadiliko. Biblia iko wazi na ni kamilifu, haina kificho, lakini ni WAZI katika aina hizi zote za dhambi: Mungu anakataza ngono za haramu, pamoja na mauaji, uwongo, ibada ya sanamu, uzinzi, na mambo haya yote mengine. Anayakataza, na Marekani, wote kanisa na serikali, wanafanya vitu hivi wakikimbia maili 90 kwa saa katika njia ielekeayo Kuzimu. Wanakimbia mbio sana. Hakuna toba ndani. Hawataki, na yamkini hawatafanya hivyo, lakini ninakwenda kuamini kuwa kutakuwepo na baadhi watakaotubu.

Sasa, kama nilivyokuwa ninasema, kuna namna nyingi hapa ambapo Mungu anaweza kuiharibu Marekani, na nimekuwa nikisema, “Kama ninyi watu wa kanisani hamtakuwa wapiganaji, na hamtasimama katika jeshi la Mungu, katika Roho Mtakatifu, na hamtakuwa mnashambulia na kuitetea Injili, na kuilinda imani, watu wengine watailinda imani yao na kuwapiga buti kuwatoa nje ya nchi hii”

 Sawa, hicho ndicho kinachoendelea sasa hivi. Wanasema Obama AMECHANGANYIKIWA kabisa na vitu vinavyokata kutoka kwenye Biblia, na vitu vinavyokata kutoka kwenye katiba na anaviondoa; na kumsikia akisema, anaposimama mbele ya Wakristo, ni Mkristo. Anaposimama mbele ya Waislamu yeye ni Mwislamu; anaposimama mbele ya wakomunisti, yeye ni mkomunist; anaposimama mbele ya nguruwe mafashisti wa Nazi, yeye ni mmojawaop; na anapokuwa mbele ya pinkos, moja kwa moja ni mmoja wao. Ni raisi shoga wa kwanza Marekani. Hebu subiri hapa kidogo. Nina habari kwa ajili yako: yeye sio wa kwanza.

Sasa, hiki ni kichwa cha habari hapa. Siku chache zilizopita, ABC, ambayo inatawaliwa na “waelewa” --- mabenki, Bilderbergs, watu wa kigeni,---watu hawa wote wana mabilioni na mabilioni ya dola na wanatawala mfumo wote wa fedha duniani. Kina Rothschilds na watu wote hawa, wanatawala vyombo vyote vya habari, sio vya chini ya ardhi, lakini vyombo vya taarifa za habari, na ABC inaongozwa moja kwa moja. Wanaambiwa ni nini cha kusema, na ni nini si cha kusema.

Na hapa unayo: “Taarifa ya ABC Imefunua Utawala wa Obama Umeijaza Marekani Magaidi wa Kiislamu, kwa Kisingizio cha Wakimbizi wa Iraki” Sawa, hata hivyo yeyote aanayeandika hilo, na mtu yeyote anayelisema hilo, yamkini atakwenda kukatwa shingo zao. Na ha hapo inawapa yote hayo.

Nimekuwa nikilisema hili kwa miaka. Kama umekuwepo kwa kipindi hicho, na umekuwa kufungulia matangazo yetu, nyuma katika miaka ya 1980’s nilikuwa nalisema hili. Sio kwa sababu Obama alikuwa analifanya, lakini wamekuwa wakilala hapa. Lakini kwa vyovyote vile, utawala huu unalifanya hilo.

Na nilikueleza wewe katika Mapinduzi ya Toba Sehemu ya 1, wana KILA AINA YA MAFUNZO YA MAKAMBI YA JIHADI KATIKA NCHI HII; Nimekuwa nikisema kwa takriban miaka mitano au sita hivi, na vyombo vya habari wala havijawahi kulitamka. Hakujawahi kuwa na upekuzi, hajakamatwa mtu, isipokuwa mtu aliyekwenda kuwashtaki akifunua hizi kambi za mafunzo ya kigaidi. Walikuwa na huduma kubwa ya mtandao wa tovuti, imetoweka sasa, walishtakiwa na Waislamu kwa kuwaeleza umma kuwa walikuwa ni watu wa kambi za mafunzo ya Jihadi katika ardhi ya Marekani, wakifadhiliwa na Waarabu ng’ambo ya nchi!---baadhi ya hao mashehe tajiri wenye mabilioni na mabilioni ya dola.

SASA, WAKIMBIZI WOTE HAWA WANAKWENDA WAPI?, Sisemi kila mkimbizi anayekuja hapa ni mjahidina, lakini ni Waislamu; na kuna kila aina ya Waislamu: Wa Suni, Wa Shia, na wengine wote wanaii, Wahabi, na wabii wote waliopo; wako wengi.

Lakini hapa, katika hadithi hii, hiki ndicho taarifa za ABC zinavyosema. Hii ilitolewa taarifa tarehe 8 Agosti, 2013. Hiyo ni nyuma kidogo. Inasema, “Taarifa ilikuonya wewe kuhusu mpango wa utawala wa Obama kupenyeza kimya kimya nchini WENGI WA MAGAIDI WA KIISLAMU WENYE MAFUNZO YA HALI YA JUU wakitambuliwa kama wakimbizi wa vita vya Iraki na Syria. Leo, taarifa ya ABC inathibitisha kuwa hii imetokea sawasawa na jinsi tulivyowaonya itakavyokuwa” Sawa, kuna mtu aliwaonya hapo mwanzo kwamba hili linakwenda kutokea. Vema, hutakiwi kuwa nabii kujua baadhi ya vitu hivi; ni kiasi cha kuwa na akili ya kuzaliwa.

Tena hapa ni kile ABC inachosema: “Dazeni kadhaa za washukiwa wa utengenezaji wa mabomu ya ugaidi….” Sasa, wanashughulika tu na watengeneza mabomu. Hawashughuliki na watu wengine, ni wale tu walio mabingwa wa kutengeneza mabomu. “Wakiwemo baadhi walioaminiwa kuwalenga Majeshi ya Wamarekani, wanaweza kwa makosa kuruhusiwa kwenda Marekani kama wakimbizi wa kivita,kulingana na mawakala wa FBI waliotafiti mabaki ya mabomu ya kutega barabarani yaliyotolewa Iraki na Afganistan….” Na blah, blah.

 Inaendelea kusema waliwakamata 2 hapa kama wiki moja iliyopita katika mji wangu niliozaliwa {mji} Bowling Green, Kentucky. Bowling Green haikuwa mbali sana na mahali nilipozaliwa na kukuzwa. Lakini hapa wako wawili kati ya hao Majahidina wakiishi hapo, walikuwa na kazi, wakaacha kazi zao na wakapata msaada wa serikali.

Waislamu wote huja hapa na kupata msaada wa serikali, na kuanza kunyonya titi kubwa la Marekani. Hawatataka kufanya kazi, wananyonya, na wanapanga jinsi ya kuiharibu nchi hii. Watu hawa wawili haramu mwishowe walikamatwa kwa sababu walikuwa wanawatambia watu wengine kuwa walikuwa wamekaa hapa na walikuwa wamewaua Wamarekani, na walijua jinsi ya kutengeneza mabomu. Walichunguzwa, na FBI waliwatega kwa kuwaambia mengi zaidi kwa sababu walisema, “Vema, hebu tuongeze silaha zaidi katika vita hii, na tutawapatia yote haya” Hivyo wakaenda kwenye chambo, na wakanaswa.

Vema, kwa vyovyote, walichokipata ni alama zao za vidole katika baadhi ya mabomu: idadi hapa ni “ vitu vya milipuko vipatavyo laki moja ambavyo jeshi lilivikusanya, ambavyo havikulipuka” Walivikusanya hivyo hapo----laki moja. Amini usiamini, hawa vijana wawili, alama za vidole zilikuwa katika baadhi yao, na ndivyo walivyoweza kuwakamata hawa vijana wawili. Alama zao za vidole zilikuwapo katika hayo. Hivyo inathibitisha walikuwa watengeneza mabomu. Na sasa wapo katika gereza la Serikali, lakini hiyo ni wawili tu waliopo katika taarifa hii hapa.

Wakowapi mamia na mamia ya Majahidina wengine? Labda katika hayo makambi ya mafunzo, na labda wanalipwa na fedha za watu weusi, sio kwa sababu nazungumzia rangi ya ngozi ya Obama: fedha nyeusi/ operesheni nyeusi ni maneno ya kijeshi kwa fedha ambazo hazitolewi hesabu katika serikali. Katika siku nilipokuwepo jeshini, waliziita “kisanduku cheusi” au ‘fedha za mfuko . Wakati walipowalipa watoa taarifa au wakati wanawalipa watu kufantya vitu, ni fedha isiyotakiwa kufanyiwa marejesho, na kwa kawaida waliiita operesheni fedha za kisanduku cheusi.

HIVYO, OBAMA LABDA ANAWAFADHILI MWENYEWE MABILIONI YA DOLA KUTOKA KWENYE FEDHA NYEUSI KATIKA MAKAMBI YAYA YA MAFUNZO. Hatakuambia wewe hilo, lakini ni kama nina uhakika alama zake ndogo za vidole ziko hapo mahali fulani, na anajua yote yanayoendelea. Usinieleze kuwa hafahamu.

Vena, kwa vyovyote vile, sikakwenda mbali sana katika hilo. Ninakuambia tu kwamba katika taarifa za ABC, una picha kubwa: wako majahidina hapa. “Kutana na Wakimbizi wa Obama, Wote wanamafunzo ya Kutengeneza Mabomu/Kutungua ndege”

 Hawa vijana wawili, mmojawapo alisema aliwaua watu wanne kwa kuwatungua kwa bunduki yeye mwenyewe. Alikiri hilo. Nisikilize hili: “Wakimbizi 70,000 wa Iraki wako US tayari.” 70,000, hiyo ni kutoka tu nchi moja. Vipi kuhusu Afghanistan, Syria, Somalia, na zote nyingine? Mamia ya Maelfu ya watu hao wanaingia, wanapata huduma za kijamii---wakati ninyi Wamarekani hamna mahali pa kuishi, hamna fedha yyoyote, na huyu mnafiki mweusi kutoka ikulu ya pinki hapa katika Wilaya ya Rushwa analeta watu wote hawa hapa, na anafahamu vizuri na vema kuwa wengi wao anaweza AKAWATUMIA atakapotaka.

Na hata kuna maoni hapa yanayosema: “Hawa magaidi wenye mafunzo (wenye aelimu ya utengenezaji mabomu) ambao wapo ndani ya US, na ukweli kutoka kwenye mwonekano wa Usalama wa Ndani: wananihusu kweli”

Hili ni mojawapo wa afisa mkubwa analisema hilo. Lakini wanasema: saa yeyote ambayo Obama anataka kuanzisha vita, atawaita hawa Majahidina, katika haya makambi ya mafunzo, nao watafanya kile wanachotaka kukifanya.

Na hutaki kuona mauaji ya kimbari ambayo watu hawa wanatuhumiwa kwayo. Kama ukisoma chochote kuhusu historia ya Kiislamu na vita vyao, ni wamwagaji damu: wanakata masikio, wanakata pua, wanawachinja watu hadharani, wanawatoboa macho, wanawakata mikono, wanawakata miguu na wanawatoa watu utumbo. Hivi ndivyo namna wanavyofanya kazi; wanaua kwa uchungu sana. Hii inatokea kila wakati. Haijalishi kama wewe ni askari au raia. Wanafanya hivyo tu. Wanakuteketeza kwa moto ukiwa hai, wanakucharanga, wanapenda mambo ya visu, wanakukata kichwa, na wanakuning’iniza.

Kama nilivyosema hapo nyuma, tulipokuwa Nigeria miaka ya 90’s tuliliona jiji lote likiwaka moto. WAISLAMU JANA YAKE WALILICHOMA MOTO LILE JIJI, NA JIJI LOTE LILIKUWA LINAUNGUA. Nasi tulikuwa tunaliendea lile jiji, na mamilioni ya watu walikuwa wanakimbia wanatoka nje ya jiji. Walikuwa na malori yao ya mizigo. Kila mtu akipakia kitu chake juu yake; watu walikuwa wakining’inia kuzunguka malori kutoka nje ya jiji linaloungua kwa sababu Waislamu walikuwa kwenye mlipuko wao wa ugaidi pale, na ninakumbuka moshi ulikuwa mzito sana ni vigumu kuona kitu chochote. Na nikafikiria: “Mungu wangu, umetuleta kwenye majanga haya?” Vema, tulikwenda kwenye majanga hayo kwa sababu tulikuwa kwenye huduma, na jiji punde tu ndiyo limeunguzwa, na bado lilikuwa linaungua tulipokuwepo pale. Na tukaenda kwenye kambi ya kimishonari waliotuandalia, na WALITARAJIA MASHAMBULIZI USIKU ULE AMBAPO WANGEINGIA NA KUUA KILA MTU. Na kwa kweli, kwa kawaida tungeweza kuomba usiku wote; tulikuwa tunaomba usiku ule wote, na TUKAHIFADHIWA. Lakini kutoka hapo, tulisafiri kwa gari maili nyingine mia moja mpaka Jos.

Jos, Nigeria imekaa katikati ya Nigeria ya kusini na Nigeria ya kaskazini. Kaskazini kutoka Jos mpaka Nigeria kaskazini wote ni Waislamu, kutoka hapo kuelekea kusini wote ni Wakristo; hivyo unakuwa na nchi hiyo imegawanyika. Tulikuwa kaskazini ambapo walikuwa wanachoma, na baadaye tukasafiri na gari hadi Jos ambapo ilikuwa kulia. Na hapo ndipo tulipokaa, wakati ule, huduma ya Majenerali, na tulikuwa tunahudumia pale.

Lakini, ninawaambia tu, nilisahau ni watu wangapi waliokufa. Nadhani waliwaua Wakristo elfu 3 au 4 usiku ule tulipofika pale. Na hata hivyo, Wakristo walilipiza kisasi, kwa jinsi ninavyofahamu walichoma misikiti 3: hiyo ni kidogo kulinganisha na kiasi cha majengo ya makanisa ambayo magaidi hayo yalichoma. Sawa, kiasi hicho kwa furaha na raha.

 Kwa vyovyote vile, turudi nyuma kwenye kupaka mavi kwenye nyuso zenu. Mko tayari kwa hili? Je, ninyi watu mko tayari, tayari kweli, Mungu apake mavi katika nyuso zenu, makuhani wenu, manabii wenu wa uwongo katika kanisa la nchi ya la-la. Haongelei hili atakwenda kulifanya hili kwa wapagani. Anaongelea kuhusu anakwenda kulifanya hili kwa wajiitao watu wake mwenyewe. ANAKWENDA KUFANYA HIVYO.

Sasa, kuondoa harakati za Kijihadi, hapa ni baadhi ya vitu kama juisi: “China imetangaza inakwenda ku-Odoa Umarekani duniani: wote wanaonunua dola za US.” Kwa maneno mengine, wanasema, “Hatutakwenda kununua dola za Marekani tena. Kwaheri Marekani” Wanasema: Tunakwenda kutumia fedha zetu,” kwa sababu wanamiliki kila sarafu ya Marekani.

Marekani inadaiwa na watu hao nimesahau ni kiasi cha trillion ngapi za dola ambazo Obama, au rais mwingine yeyote hatakwenda kuzilipa. Na wanasema, “Kuzimu kwenu nini wa Marekani. Tunakwenda kuwalemaza ninyi dunia nzima; fedha yenu itakuwa… mtazichambia, kwasababu zitakuwa si kitu” Hivyo ndivyo wanavyosema. Na kuna makala nzima katika hilo.

China ndiye nchi kubwa ya kigeni inayoidai US, kwa kiasi cha 1.3 trilioni za hewala za fedha, na zinahusika na athari za US kushindwa kuweka mipaka ya ndani katika dhamana hizo” Unafahamu, ndio wameongeza deni. Waliliongeza miaka michache iliyopita. Wameliongeza tena, wanaendelea kuliongeza deni, na hakuna dhahabu ya kulifidia! Hivyo, huu ni ukichaa wa rais na utawala wake---Obama: ameshafanya hivyo mara mbili tangu awepo madarakani. Sawa, anatumia zaidi kwa safari zake: safari 19 tangu awepo ofisini, zikiwagarimu ninyi watu mamilioni ya dola.

Alipokwenda Afrika, mara hii ya mwisho, unafahamu ni kiasi gani kiliwagarimu wapiga kura? Dola milioni 100---kwa yule jinai kwenda kule na kujaribu kupeleka haki za mashoga kwa nchi chache za Kiafrika. Na unafahamu ni nini walichokifanya na matapishi yale? Walimzomea kule. Walimzomea. “HAPANA Obama” hicho kilikuwa kelele za wakazi wan chi hizo alizozitembelea: Tanzania na sehemu nyingine chache.

Tumewahi kuwa Tanzania, na ninafahamu ni kwa jinsi gani wanavyojisikia pale. Na alikuwa anatumainia atampata mtu katika upande wake. Vema, alikipata alichokistahili: “HAPAMAOBAMA” hivyo ndivyo walivyokuwa wakipiga kelele. Hii inamaanisha hawamtaki pale. Yeye ni msaliti. Wote walimchukulia kama alikuwa msaliti. Vema, kwa vyovyote vile, iliwagarimu ninyi watu dola milioni 100 kwa hicho kiziara kidogo cha kujaribu kupata haki za mashoga katika nchi nyingine.

Mshukuru Mungu tumekuwepo katika nchi nyingi za Kiafrika na kuhubiri dhidi ya mavi haya kwa miaka 20-25 kabla ya yule jinai kwenda pale. Na tumesambaza kama yamkini majarida milionio saba ya kupinga ushoga kabla hajaenda pale. Na mshukuru Mungu Waafrika walilichukulia moyoni kwa sababu hawalikubali hilo pale. Sasa, liweke hilo katika bomba lako na ulivute Ndg. Rais.

SAWA, WACHINA WANAKWENDA KUFANYA HIVI. WALISEMA WANAWEZA KUIUA MAREKANI HATA BILA YA KUPIGA RISASI, kile watakachokifanya ni: “Hakuna fedha tena; hatununui tena fedha zenu. Hazina thamani. Tunakwenda kuziuza fedha zenu sasa na dunia yote itazitumia fedha zetu---Dola ya Kichina/Yen” au vyovyote inavyoitwa. Inafurahisha kiasi gani! Kuna makala nzima katika hilo, kama unataka kuiangalia.

Na ninakwenda kufikia sehemu yangu ya mwisho hapa. Hapa ni picha ya Abraham Lincoln akikaa hapa katika kiti chake cha enzi na kofia yake na fimbo kwa aibu, na inasema, “Pazia la upinde wa mvua limeteremkia katika nchi ya Lincoln.” Na inasema, (ninakwenda kunukuun vitu vichache.) Mtu aliyeandika hili ametokea Illinois, kwa kweli. Sasa, unafahamu Illinois, lilikuwa ni jimbo la 16 ambalo lilipitisha ndoa za jinsi moja. Sasa, kuna maana kwa 16, na ninakwenda kwenda hapo sasa hivi.

 Sasa, kama hufahamu, na umechanganyikiwa, MUNGU ANAKATAZA USHOGA. Anakataza kujamiana haramu. Anakataza uasherati, uzinzi, na kujamiiana na wanyama. Anakataza vitu hivyo vyote, pamoja na dhambi nyingine, lakini hizo ni dhambi za ngono ambazo Mungu hatavumilia kwa mtu yeyote, kwa muda wowote katika historia.

Sawa, hivyo Marekani inakaribisha ndani huu uchafu, na watu wamechanganyikiwa, “Mimi ni shoga, niko wazi? Mimi ni shoga; niko wazi?” Kama wewe ni shoga, ungana na kundi lao na uangamie milele; Kama uko wazi, simama kwa ajili ya Yesu na upambane. Iweni wazi mataahira. Acheni kuwa na dhana za kina Joel: “Nina hawa [mashoga] watatu katika kanisa langu ambao ni watu wazuri” Ni watu wazuri? Wako watatu kuliharibu kanisa lako Ndg. Osteen. Upumbavu.

Sawa hapa: “Baada ya ndoa za jinsi moja kupitishwa, muda mfupi uliopita….” Mwandishi huyu anasema: “Nahisi sitashangaa kwamba vile vimbunga 14 vya tornado vilivyoipiga Illinois Jumapili iliyopita.” Sasa, anazungumzia kuhusu Novemba 17th.

VIMBUNGA 14 VYA TORNADO KATIKA ILLINOIS KATIKA SIKU MOJA. GEE, NI MUNGU AMEKASIRIKA KUHUSU KITU FULANI? Vema, hebu tuangalie. Ninanukuu vitu vichache tu: “ Katika maliwato tunaweza tukampenda sana Bush na Rove.” Nafahamu Bush alikuwaje, lakini sina hakika ni nani anamwongelea kuhusu Rove. Anasema, “Lakini hata tangu Obama achukue madaraka,” tunaendelea: “nimekuwa nikisikia chooni mshindo mkubwa wa flashi ya maji, na hakuna kitu cha kushika kwa jinsi tunavyosukumwa chini chooni” kama jivi linavyosukumwa.

Sasa, hilo linanikumbusha mimi, kama ukirudi nyuma na kusoma baadhi ya vitabu vyetu vya karibuni vya unabii, kuna unabii uliopo pale ambao Mungu anasema: “kuna bomba lakunyonya linaloshukia Marekani,” na alitumia maneno : BOMBA LA KUNYONYA,” kama bomba la tornado, na linavinyonya vitu juu, au kuvinyonya vitu chini kama choo kinavyofanya. Na hapa mtu huyu anasema hili. Vema, unabii ule ulitolewa miaka 10,15 ilivopita? Ilikuwa ni muda mrefu uliopita, lakini hapa anatumia hili kuhusu kwenda chini.

“Taarifa haikufafanua zaidi; hapa kidogo, hapa kidogo.” Inasema, [sasa] yanakuja maili 90 kwa saa, yakishuka mashariki kuelekea mkondo wa magharibi” Anazungumzia kuhusu habari za kile Obama alichokilenga. “ Hivyo ndege ya kivita inashuka ‘Hivyo nisaidie Mungu’ kutokana na ahadi zao, wakati Obama ashukapo ‘chini ya Mungu’ mara dazeni tangu aingie ofisini.

 Yeye [Obama] anachukia neno la “Mungu.” Anachukia neno la “Yesu” anachukia Biblia, anamchukia Yesu, anawachukia ninyi Wakristo, na ananichukia mimi. Rais wenu ananichukia mimi. Vema, name namchukia mno, asante sana. Hakuna upendo uliopotea, funza. Sikupendi. Ninakuombea ukaweze kutubu, lakini sitafuti. Na niaminini mimi wapendwa, ndilo ninaloweza kufanya kuombea matapishi yale. Nilitakiwa ”kuomba zaidi kwa rais wetu.” Sawa nitafanya hivyo. Nitamwomba Mungu amwondoe.

Sawa, sasa inaendelea mbele hapa, ikisema, “Nchi ya Lincoln imepitisha ndoa za jinsi-moja,” na halafu wanaziongelea. Na halafu, inaendelea na kusema: “Siku haipiti bila mtu yeyote kuelezea kuhusu ufisadi, kulazimisha, kuhimiza. Na katika upande wa kulazimisha…” Ndipo wanapoongelea kuhusu jinsi ambavyo wanachama wa republican wanavyojiweka chini ya chama cha the democrats katika kilakitu: kundi la kupenda wapiga kekeke wakata viuno, wekundu, weupe,na bluu. Ninyi wa republic hamna hata usemi au ujasiri uliobakia. Unafahamu ni kwanini? Kwa sababu MMENYAMAZISHWA NA WA DEMOCRAT.

Sasa kwa ninyi vijana mtasimama kwa kitu chochote. Siamini wa democrat au wa republic, lakini kama mtakwenda kusimamia kitufulani, marazote wademocrat husimama wametabasamu kama Obama; wa republic husimama kwa Mungu kwa namna moja…namna moja.

Sawa, democrats, wanasema, “ Wako kama wasoshalisti na fashisti na republican ndani kutoka Ted Cruz…” (Ted Cruz ni moja kutoka Texas ambaye alirusha kitu kuhusu hili lililotokea karibuni kuhusu kuzuia kuongeza madeni katika hilo. Vema, ilipita kwa vyovyote.) Lakini, hiyo inamhusu nani. “Wakawa washindi”

Halafu akasema, “Amkeni Marekani. Nchi yenu ndiyo imeibwa. Obama na wafuasi wake sio waaminifu, hili lilikuwa gumzo linaloongelewa tangu ….” Halafu anaongelea kuhusu watu wengine hapa.. “ IMENUKULIWA VIZURI SANA”!

“Obama ana mambo ya kike, funza shoga, na anajua, anajua sawia kile anachokifanya. Yeye ni kibaraka anayening’inia juu ya kamba, na anafanya kila kitu wakubwa zake wanachomwambia afanye….” Nalo ni ku “ uondoa Ukristo na chochote kinachomfanania Mungu katika nchi hii!” Na hilo ndilo analolifanyia kazi---kuhakikisha kuwa kuna mashoga wengi hapa, kwa sababu anafahamu ni usoni kwa Mungu, ndiyo maana amejitosa sana kwa mashoga na uchafu wote huu.

 

Naam anafahamu Waislamu wanamchukia Mungu---Mungu tunayemtumikia---wanamtumikia Allah; tunamtumikia Mungu, wanauchukia Ukristo, na wawachukia Wakristo. Na ndio maana anawachukua, kwa sababu ni mmoja wao. Anafahamu kama Waislamu wakiachwa huru, watauharibu Ukristo wote wakati wowote ule popote duniani.

Kwa hiyo mashoga/mapinko/mastinko, na Waislamu, hizo nguvu kubwa mbili ziko hapa. Wanalo jitu kubwa la kisoshalisti liitwalo China ambalo linasema: “Hatuongelei tena mambo yenu. Ama utulipe au tunakwenda kuangusha biashara yako” Sawa hatutalipa; hatuna kitu cha kulipa. Hivyo, yamkini dola yako haitakuwa na thamani tena kesho.

 “Maafisa jeshini 130 wamekwisha lipwa” Tunaongelea kuhusu magenerali na ngazi zote na Makanali, wamekwisha lipwa kwa sababu walikuwa wanaikingia kifua Marekani. Na hilo ndilo wanalolipigania kwa ajili ya [haki za Marekani?], na halipendi hilo: “ Waondoe hapa hao haramu! Tunahitaji mtu wa kusimama dhidi ya Carl Marx kwa ajili ya Mungu; yeye ni baba wa taifa!...na Harry Hay kwa kweli shoga Harry Hay. Hatutaki kumsahau!”

Wamekwisha lipwa [kutoka jeshini]. Na watasema, “Sawa, ni wapi vyombo vya habari vililiongelea haya yote?” Inasema, “ Ni wapi ilipo taarifa kwa vyombo vya habari wakati Obama akivunja Katiba? Hajali kuhusu katiba. Yeye sio Mmarekani. Hatoi hata mavi kuhusu katiba yenu: maji yapo chooni, haflashi. Hajali kuhusu hilo! Ndiyo maana anaikiuka kila kukicha. “ Wakati huo huo Pentagon kwa furaha...” wameipata nikinukuu “...mwondoe Mungu,Kristo, Biblia, na Wakristo jeshini, wafutilie mbali kwa sera ambazo zisizo na heshima za kuwakumbatia mashoga.”

Wakati nilipokuwa jeshini, tuliiita “SEHEMU YA 8.” Kama mtu yeyote angehisiwa kuwa ni shoga, sehemu ya 8 ilikuwa inakujia, na unaondolewa jeshini. Sehemu ya 8, ilimaanisha kama ulikuwa shoga au kitu kama hicho. Sasa, watu hawa wanapongezwa, na ni nini Obama anachokitaka kuwafanyia? Wanamaji, anataka wavae navazi ya pink, labda na kofia za pink, kofia za kike.

 Wanaziita “kofia za kikekike” Hilo ndilo atakwenda kulifanya; hata watawafukuza Wanamaji. Niliwahi kulisema kitambo kuwa ni kiasi cha muda tu mpaka jeshi litakapovaa sare za pink. “ Sena Bruce, kaa mbali na kisijino changu, sema!” “Oh, Ninapenda kalkiti zako za pink pinki Jill!” Hapana, hawakati nywele tena kwa makundi. Hao ndiyo Wanamaji. Sasa wana kalkiti ndogo inakuja ikiwa na kidole kidogo cha pink juu ya kofia za kupigana. Wao ni pinki. Obama anataka wavae pink, kofia za kike sasa kwa Wanamaji. Unafahamu kwanini analifanya hilo? Kwa sababu Wanamaji ndiyo wagumu zaidi. Anataka kuuondoa ule uanaume.

Sawa, halafu anasema, baada ya kuwafukuza mashoga kipindi kile nilichokuwepo pale: “ Na bado unasubiri mtu mwingine aongee kwa niaba yako.” Afadhali usubiri muda mrefu. Hakuna mtu atakayekwenda kutusemea sisi Wakristo. Inabidi kufanye hivyo wenyewe.

Sawa, kumalizia hapa: “Wakati huo huo kakika nchi ya Lincoln, gavana Guinn,” huyu ni gavana wan nchi ya Lincoln: “ afanya kufuru mara mbili ya mbwa wakati akipitisha ndoa za jinsi moja katika muswada ambao uliifanya Illinois kuwa jimbo la 16th katika muungano kufanya hivyo. Si tu huyu Guinn wa Katoliki alinajisi Biblia Takatifu kwa kusoma kwenye kitabu cha 1 Wakorintho lakini alifanya hivyo, na aliipitisha ile sheria kwenye dawati binafsi la Abraham Lincoln’s.”

Hiyo haitoshi. “Abraham Lincoln alikuwa rais wa t16th, na Illinois jimbo la 16th kuridhia ndoa za mashoga. Abraham Lincoln alikuwa shoga,” na ina vitu vingine huya jamaa alisema haya kwa sababu niliisoma ‘Kwa Wakili.’ ’Kwa Wakili’ ni gazeti la mashoga, kwa hiyo wanasema sasa kwamba “Abraham Lincoln alikuwa shoga, kwa hiyo anataka kuifanya Illinois shoga! Hivyo, vema, akasaini sheria katika siku yake ya kwanza ya kukaa kwenye meza ya urais, na halafu soma kutoka ‘sura ya upendo’ kwenye waraka wa Mtume Paulo kwa Wakorintho” Sasa, natakiwa nimalizie hili hapa: “Wakati ikionyeshwa kwenye runinga yote hayo kushirikisha dunia furaha yetu.”

Huyu gavana wa Illinois aliionyesha kwenye runinga. Alikuwa anasoma “sura ya upendo” Ninahisi ni sura ya 13 katika 1 Wakorintho, anasema Paulo aliandika hilo kuwapendelea mashoga, na ndipo kupendana wenyewe kwa wenyewe. Hilo ndilo analolifanya. Lakini, huyu funza, Guinn (wewe ni funza kwenye kiini) ulisahau kusonma sura ya 6 ya I Wakorintho ambayo inasema katika mstari wa 9 hadi 11: “ Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala wanyanganyi.” Na halafu inasema “Na baadhi yenu MLIKUWA watu wa namna hii. Kwa maneno mengine, “Mmeokoka, mmetakaswa, mmeoshwa, sasa ninyi ni Wakristo, na hamko vitu hivyo tena” lakini kwanini huyu jamaa hakulisoma HILO?

 Hivyo kitu anachokisema, kumalizia hapa, anasema, “Kama Obama ana ukatili uliojificha, na alfabeti ya mafia ni upanga kwanza, na wapinzani wote walifanyiwa uchunguzi…” sasa hayo ni maneno ya kujishikiza tu katika harakati za mashoga, “uchunguzi [ glavu, kwanza].’ “Hilo litazifanya nchi nyingine ambazo zimekuwa chini ya aibu hii.”

Halafu inasema: “ Utapigia magoti sanamu ya upinde wa nvua utakaposikia sauti ya muziki, hautaweza kufanya biashara, kujiunga na jeshi, kufanya kazi ofisini au kupata huduma ya afya” Halafu inaongelea ukweli kwamba upinde wa mvua ni rangi ya funza---wanatumia upinde wa mvua [kama ishara]. Kwa hiyo kama kutasujudu, kama ilivyokuwa kwa Nebkadneza, alipotengeneza sanamu kwa ajili yake na kusema “Mtakaposikia sauti ya muziki ninyi watu, nawataka ninyi mnisujudie na kunisifu mimi kwa sababu ni mkubwa sana“ Hii ni agenda ya upinde wa mvua, ndipo unapotolewa, mpenzi; umetolewa maisha; huwezi kufanya haya, wewe ni kama mtu aliyetupwa hapa”

“Haki hutofautisha Wakristo na wanasiasa wazalendo. Ni saa ya kufanya kama Daniel, weka hazina yako chini, usitegemee habari yeyote inayokuambia maji kidogo ni ya uvuguvugu, na inua kizazi kingine cha mashujaa wa marekani”blah, blah, blah…

Sawa, hivyo inaniambia mimi kitu fulani: baada ya funza Guinn kuisaini ile kwenye runinga na kusema Abraham Lincoln alikuwa shoga na rais wa 16th nao ni jimbo la 16th, vimbunga 14 vya tornado siku chache baadaye vilifumua na kuteketeza ile sehemu inayonuka. Angalia kwenye Youtube, na angalia uharibifu uliofanyika. Nilishangazwa ilikuwa mbaya kiasi gani. Walisema kwamba ile sehemu yote ya katikati ya Illinois iliharibiwa. Huisikii hii tena kwenye taarifa.

Nafikiria kama Laana ya Msamaria inakwenda hapo tena na vitu vyao vya China kumweleza kila mtu jinsi “Mungu anavyowapenda” –baada ya kuzindua ndoa za jinsi moja….oh, yamkini watakuwepo hapo. Kama Franklin anadhani angeweza kupata dola chache, whew! Atauza kijana wa Billy, kabla hata hajafa, kwa ajili ya kiburi na umaarufu, na kwa kweli, fedha.

Sawa, ni saa ya kuomba, ni saa ya KUWA HAKIKA, ni saa ya kuingia kwenye MAPINDUZI YA TOBA, ni muda wa KUISOMA BIBLIA YAKO, ni saa ya kusimama kwa ajili ya Mungu, ni saa ya KUWA AGGRESSIVE, ni saa ya kuwa MTU WA VITA, ni wakati wa kujiunga na jeshi la Mungu, ni saa, ni saa na saa imepita wapendwa kwa ajili ya Mapinduzi. Ufumbuzi wa uchafu unaonuka ni MAPINDUZI YA TOBA!

Hivyo, kama una moyo kuhusiana na vitu vya Mungu, tubu dhambi zako, tubu kwa ajili ya dhambi za watu wengine hapo, na acha kitu hili kiendelee. Kwa sababu Mungu anatuambia kuwa kama kweli tutaomba, atabadilisha vitu kweli. Anaweza kuuondoa utawala wa Obama. Anaweza akawaondoa mashoga: Tauni moja tu inaweza kuwaondoa wote usiku mmoja. Mungu anaweza kufanya vitu vingi kama tutaoma. Kama hatuombi, sitaki kuwa hapa kwa sababu hii nchi inakwenda kuwa shoga; Ninakuambia hilo, mpenzi! Watakuwa wanawadhalilisha watoto wenu wadogo mawa tu wanapozaliwa: Hivyo ndivyo hawa watu walivyo wabaya.

Hivyo, ni afadhali tungeomba sasa hivi. Tunakwenda kuomba, lakini kama maombi yetu hayatatosha, na hakuna watu wa kutosha kufanya hivyo, Mungu anasema: “Sawa, ninaleta hukumu zangu” na Mungu anasema: “Ninakwenda kubamiza na kutandika zaidi,” chochote kati ya vitu hivi nilivyovizungumzia kinaweza kutokea na kuja katika nchi hii.

China anaweza kabisa kulishika neno lake na kuifukuza Marekani. Sio tu kuifutilia mbali deni wanalolidai Marekani bali kufutilia mbali fedha---kwenda kuzitumia fedha zao wenyewe, na FEDHA ZA MAREKANI HAZITAKUWA NA THAMANI YOYOTE. Wangeweza kuivunja nguvu Marekani duniani kote kwa kutemeza ku kalamu mara moja---bila ya kupiga kidogo silaha 22 kuua kila mtu.Wamarekani wote watauwawa kwa saini moja tu ya kalamu: “Nimemaliza huu upuuzi wa deni, hujalilipa bado, na hunidai mini. Siendi kuazimisha….” Wanasema hatutakwenda kupata fedha za kutukopesha tena.

Kama unavyofahamu, walimtuma yule mwanamke asiye na maana pale miaka michache iliyopita, kuiomba China fedha zaidi, ili kwamba wanunue fedha zaidi kutoka kwetu, na kwa kweli, kwa wakati ule, walifanya hivyo. Wanasema sasa hawatafanya hivyo. Kitu watakachokifanya kwa ajili ya malipo, wangeweza kusema, “ Nataka kipande cha mali zako. Kwanza kabisa, ninakwenda kuchukua Washington D.C.,” thamani yake sijui ni dola bilioni ngapi, “Naitaka ile. Nataka niwaondoe watu wote kutoka eneo lote la D.C---nao watakwenda kuuchukua mji mkuu, wataidondosha bendera ya marekani, na kuichanachana---kitu inachostahili, na ndipo waisimamishe bendera ya Kichina, na ndipo kutakapokuwa makao yao makuu.”

Unadhani hiki ni kichekesho? Hii inaweza kutokea kabisa. Na buni nani labda angesema “NDIYO” kwa hilo? Rais wako, kwa sababu anamoyo wa Kisoshalisti. Yeye ni sehemu ya huo Undugu hapa. Na haitanishangaza . Amekwisha kuiuza Marekani. Ataiuza Marekani njiani kama anadhani atakuwa na sehemu katika utawala wa China; kweli. HIVO LOLOTE LAWEZA KUTOKEA. Ninatumaini kwamba kuna muda wa kutosha [kuomba na kutubu] ambao utakwenda sambamba ili tusione mojawapo kati ya mambo haya yakitokea, lakini kama hayakutokea nipo hapa na tutakwenda kuona ni nini kinatokea.

Amina.JE, UMEKWISHA OKOKA? YESU NI HALISI!! OMBA KAMA HIVI.

Mpendwa Yesu, ninakuja kwako na dhambi zote nilizozitenda na ninakuonba wewe unisamehe. Niokoe mimi kutoka kwenye maangamizo ya milele katika moto wa Kuzimu. Ninakiri kwamba mimi ni mwenye dhambi ambaye siwezi kujiokoa mwenyewe.Usiniruhusu mimi nife katika dhambi zangu. Tafadhali takasa mwili wangu, nafsi na roho kwa damu yako ya thamani.Ninahitaji msaada wako na ninakuomba wewe uje na kuishi moyoni mwangu. Nataka nikutumikie, kutii amri zako na kufanya yale ambayo ni sawa. Nataka niishi kwa ajili yako kila siku na kuupokea uzima wa milele.Tafadhali niongoze na nielekeze kwa Roho wako katika haki. Nisaidie mimi kuishi maisha safi na matakatifu yampendezayo Mungu. Asante Yesu kwa kunisikia na kunijibu maombi yangu. Amina! Soma BIBLIA!

Tuandikie kwa ajili ya kupata bure machapisho yetu mengine yanayohusu HUKUMU YA MUNGU.

Tungependa kusikia kutoka kwako!
Kuomba maandiko au taarifa zaidi kuhusu sisi au jamii yetu tafadhali tutumie E-mail:

livingword@aggressivechristianity.net

 au tuandikie:

AGGRESSIVE CHRISTIANITY
HR 60, Box 11,
Fence Lake, NM 87315


Kwa maelezo zaidi kuhusu ACMTC TANZANIA, au jinsi utakavyoweza kujihusisha, wasiliana na Meja Frank & Elina Materu: S.L.P. 7579 Dar es Salaam, Tanzania. Barua pepe: materufrank@yahoo.com